"Jambo la msingi ni kujiandaa vizuri kukabiliana nayo kwa mfano tukiona watu wakikimbilia sehemo nyingine kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, tunahitaji kujipanga zaidi." ...