Pia, lina mahali pa kupiga magoti, kwa ajili ya ibada na msalaba mkubwa, na Papa anaweza kuhudhuria au ... ili kuombea afya ya Papa. Maua, kadi, picha na mishumaa mara nyingi huwekwa chini ya sanamu ...
Kufuatia ajali hiyo, Rais wa Honduras Xiomara Castro "aliunda mara moja" kamati ya dharura ya nchi hiyo, inayojumuisha huduma zote za dharura ikiwa ni pamoja na jeshi, polisi, zima moto ...
Dar es Salaam. Mchekeshaji Said Said amesema picha aliyopiga na Rais Samia Suluhu Hassan imempatia michongo mingi ambayo hakutarajia. Said ambaye kwa sasa ameweka picha hiyo kwenye billboard mkoani ...
DODOMA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, Victoria Kwakwa, leo Machi 17, 2025, ...
Katika juhudi za kujaribu kuwaokoa, familia yao iliomba msaada kutoka kwa mamlaka za Syria, Ufaransa, na kimataifa, ikiwa ni pamoja na Shirika la Msalaba Mwekundu na Umoja wa Ulaya. Mnamo 2016, kwa ...
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira) wa Chama cha ACT Wazalendo, Petro Ndolezi, amesema kuwa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi unapaswa kuzingatia vigezo vya msingi ...
LONDON, ENGLAND: MANCHESTER United imeweka ubaoni majina ya mastraika wanne inayohitaji huduma zao kwa ajili ya msimu ujao. Man United imekuwa na wakati mgumu kwenye fowadi yao msimu huu, ikifunga ...
LONDON, ENGLAND: KIUNGO fundi wa mpira, Martin Odegaard anaendeleza rekodi zake tamu kabisa dhidi ya Chelsea tangu alipojiunga na Arsenal. Nahodha huyo wa Arsenal alitengeneza bao la Mikel Merino, ...
Mtoto wa marehemu Naomi Marijani (36), Glacious akiwa amebebea picha ya mama yake, mbele ya jeneza lenye masalia ya mwili, wakati wa mazishi yaliyofanyika katika Kijiji Cha Mbambua, kata ya Lembeni, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results