Baadhi ya wakazi wa maeneo hayo walionekana kubeba silaha za jadi yakiwemo mapanga na mishale, lakini serikali imedhibitisha hakuna mtu yeyote alijeruhiwa wala kupoteza maisha. Hadi kufikia jumapili ...