Watumiaji wa bidhaa wana haki ya kudai na kufungua shauri la kudai fidia wanapobaini zile walizopatiwa haziendani na walichoahidiwa, huku wakiwa na wajibu wa kupata maelezo ya awali kuzihusu.
Joto la Uchaguzi Mkuu mwaka huu limezidi kupanda na kukoleza maombi ya kugawa maeneo ya uchaguzi ambayo hadi sasa yameyagusa ...
BEKI wa Liverpool, Trent Alexander-Arnod ana asilimia kubwa ya kuukosa mchezo wa fainali ya Carabao Cup dhidi ya Newcastle ...
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Dunia (WB) Kanda ya Afrika, Dk. Zarau Kibwe, amepongeza serikali nchini na namna ...
WAZEE walioliokuwa Askari Polisi wa Mamlaka ya Bandari(TPA), wamelalamika kuvamiwa kwa eneo lao la wazi lililopo Mtaa wa ...
Hata hivyo, jibu la hili fumbo la kinyesi linatoa mwanga wa kushangaza kuhusu kinachoendelea ndani ya miili yetu na afya ya ...
Jorge Mario Bergoglio si tu Papa wa kwanza kutoka Latini Amerika, bali pia Papa wa kwanza tangu karne ya 15 kuchapisha kitabu ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amezindua namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja ya Shirika la Umeme Tanzania ...
Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akibadilisha maamuzi kila wakati jana Jumanne kuhusu kuongeza ushuru wa forodha kwenye ...
Ujumbe wa ngazi ya juu wa Belarus ukiongozwa na Naibu Waziri Mkuu Viktor Karankevich na unaojumuisha mawaziri sita ...
Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kutumika kwa mechi mbalimbali ...
TARI inaendelea na utafiti wa kina kubaini ikolojia na baiolojia ya funza mwekundu, hasa kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Matokeo ya utafiti huu yataiwezesha serikali kufanya uamuzi sahihi kutatua ...